Tetesi: Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.

Kama hivyo ndivyo; basi Kassimu Majaliwa atapigwa chini na Dr. Harison Mwakyembe awe waziri Mkuu, Kairuki awe Waziri wa Serikali za mitaa na Pro Kabudi awe waziri wa sheria na katiba. Kwa hili la Simbachawene kukubali wenyeviti warudishiwe mihuri atapigwa chini.

Mheshimiwa Lukuvi atarudishwa TAMISEMI, Prof. Kabudi aende Ardhi na Simbachawene apigwe chini.Kwa maana serikali hii haiwezi kufanya makosa makubwa kana haya.
 
Kwa hiyo ulitaka apewe yule sijui Kibatali wa chadema?
amini nakuambia, kwa mambo ya mahakamani, kibatala ana uelewe mzuri kuliko mtu ambaye hajawahi kupractice. sheria ni kitu cha ajabu sana, kama hauendi mahakamani wewe usijiweke kwenye fungu moja na wanasheria kabisa.
 
Salaam

Huenda Waziri wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne Maghembe akaondolewa katika nafasi yake, hatua hiyo itatokana na matatizo mengi ya kiutendaji yaliojitokeza katika Wizara hiyo mfano ziara ya Mh Rais alioifanya ghafla pale wizara ya maliasili na utalii Mpingo house bila kuwepo Waziri husika na kubaini njama za kutaka kusitisha zoezi la operesheni ya kukamata meno ya tembo na mfanyabiashara maarufu kama Mpemba, aidha kuweka kodi ya Vat katika utalii bila kushirikisha wadau wote wa utalii wakati upande wa kenya waliondoa kodi hiyo haraka baada ya kubiani Tanzania wameiweka hivyo kuleta usumbufu kwa watalii na makampuni ya utalii nchini, pia kuipa tena leseni kampuni ya uwindaji ya Green Miles iliyofutiwa leseni na kupokonywa kibali cha uwindaji na serikali baada ya bunge kuingilia kati na mambo kadhaa
 
Mkuu fuatilia matamko yake na utendaji uone unavyoathiri elimu.

Majoho
GpA
wanafunzi wa UDOM
field kwa mwaka wa kwanza
elimu msingi darasa la sita

Na mengne mengi yasiyo na msingi na maana katika kuendeleza elimu
wewe unataka hadi vidudu wanavaa majoho ya kuhitimu shahada. nahilo la elimu ya msingi kuishia la sita ni uzushi umeshakanushwa. kama unakumbuka system ya gpa ilipingwa na wabunge kwa kushusha kiwango cha alama za ufaulu badala ya kupandisha kiwango cha elimu. inaelekea wewe unafuata sana uzushi.
 
Siwezi bishana na BUKU SABA!
kaa mbali wewe
 
Simple, Bulembo Mwenyekiti wa wabunge wa CCM and kabudi prof, Mwakyembe piga jalamba!!
 
Kufuatia Dr Poss kuteuliwa ubalozi yawezekana yakafanyika mabadiliko ya mawaziri.Unadhani nani wanastahili kumantain nafasi zao?Karibu tujadili
 
DlUteuzi wa Dr Posi ni harakati za kukimbia kivuli tu! Anyway, mkuu amejitahidi kupokea ushauri wa kutokukanyaga katiba wazi! Sasa wabunge wanaume wateuliwa was rais wamekuwa watano! Looking at from a different corner, ni kabudi anatafutiwa nafasi
 
Wengi wamekuwa wakitabiri mabadiliko ya Baraza la Mawaziri kufuatia kuteuliwa kwa Prof kuwa mbunge.....je kama ungepewa fursa ya kupendekeza ungemuweka/ungemtoa nani...???
 
Mwingulu ningemtoa na kumfanya Katibu Mkuu wa chama ili akakijenge chama upya.(Kinana umri unakwenda.)hii nafasi itampa exposure ya kugombea urais comes 2020
 
Unajiuliza na kujijibu mwenyewe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…