Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani hii post iko nchi gani budaaaTumshaurini aondoe hii post haina afya . Tending route inatwgemea na nchi uliyopo. Izo trwnd route ni za KLM wao abiria wao wengi wanaoingia Tz wanatokea ktk route izo. Kenya trendd route za KLM ni 10 , Tz the same number, wven Rwanda the same number.
Nimefungua website ya Shirika la Ndege KLM then sehemu ya trending route, nimecheka sana
Ilizungumziwa ktk uzi wa nyumban naona mdau akaamishia na huku piakwani hii post iko nchi gani budaaa
Tatizo lako hujui kwa nini tunawaonesha takwimu hizi. Ngoja nikukumbushe.Tumshaurini aondoe hii post haina afya . Tending route inatwgemea na nchi uliyopo. Izo trwnd route ni za KLM wao abiria wao wengi wanaoingia Tz wanatokea ktk route izo. Kenya trendd route za KLM ni 10 , Tz the same number, wven Rwanda the same number.
Nimefungua website ya Shirika la Ndege KLM then sehemu ya trending route, nimecheka sana
Watamiminika wengi na atakaekutwa na Corona atatibiwa na dawa ya TANZANIA NIMRCAFE wiki tu anapona anaendelea kukoronize huko mbugani wao waache wasubiri dawa ya mzungu. Sasa hivi wameanza kujitibu Kwa limao na ndimu mpaka wametupandishia bei bidhaa hiyo limao limefika tsh 700Tatizo lako hujui kwa nini tunawaonesha takwimu hizi. Ngoja nikukumbushe.
1. Magufuri alichukua approach tofauti na mataifa yote duniani. Sisi hatukufunga nchi, kazi nyingi ziliendelea na shule baadaye zikafunguliwa.
2. Tukautangazia ulimwengu vipimo vya corona ni fake, vimepima papai, mbuzi na fenesi.
3. Chadema wakasusa bunge kujikinga na corona, na akina sugu wakawa na mawazo sawa na kenya, Rwanda na Uganda, wakaenda mbali zaidi kuwa tumekataa lockdown, tutafanyiwa lockout.
4. Wakati Kenya, Uganda na Rwanda wanaruhusiwa kuingia kwetu kwenye corona nyingi, wao hawaruhusu mtanzania kuingia kwao, atapeleka corona. Uganda na Rwanda mgogoro uliisha mapema lkn Kenya waliendeleza kutunyanyasa.
5. Kenya wakawa wanatangaza majibu ya uongo kwa kila mtanzania anayeingia Kenya, lengo lao dunia ijue ili tutengwe East Africa na duniani kote.
6. Wakati wanafungua anga, wakatangaza Tanzania na Burundi marufuku kuingia Kenya. Tulijibu kwa kuzuia KQ.
Sasa pamoja na hila zao dhidi yetu, badala tutengwe, wageni waliochoka lockdown wanakuja kupunguza hasira kwetu. Hilo linawauma. Nasi tunawaambia hawatuwezi na bado tunatafakari kuiruhusu KQ