Sasa yule Mtoto kalelewa na SINGLE MAZZA unategemea awe na Utimamu wa akili? Hujaskia hata majuzi ameanza pigo za kumnanga babake mzazi.1.Nakumbuka alifanya utovu wa nidhamu akaadhibiwa na TFF sjui baadae adhabu ikaota mbawa
2. Alikuwa kocha wa team flani kwenye SAMIA celebrity cup team ya kwanza alifanya uhuni akafukuzwa akasingizia kujiuzuru akahamia BAD NATION ya marioo Jana akaleteza vurugu akaongoza team kutoka uwanjani
Mbona hizo akili naziona ndiyo zilizozuia Simba kufanya mazoezi siku ya Derby day tarehe 8
Na ndiyo akili zilizoifuata Simba mazoezini bunju
Uongozi wa yanga kama Huwa mnashauriwa na uyu dogo mjitathimini sana kijana hayuko SMART KICHWANI
Dogo akili hana kabisaSasa yule Mtoto kalelewa na SINGLE MAZZA unategemea awe na Utimamu wa akili? Hujaskia hata majuzi ameanza pigo za kumnanga babake mzazi.
Hawa Vijana waliotokana na Kazi Kongwe hapa Mjini kaeni nao kwa akili watawavua nguo soon kwa aibu.
Kazi kongwe hahahaaaaSasa yule Mtoto kalelewa na SINGLE MAZZA unategemea awe na Utimamu wa akili? Hujaskia hata majuzi ameanza pigo za kumnanga babake mzazi.
Hawa Vijana waliotokana na Kazi Kongwe hapa Mjini kaeni nao kwa akili watawavua nguo soon kwa aibu.