Treni mpya za SGR

zisubiri zitakuja mbona mhemko ushaanza mapema
 
moyo umeridhika sasa, amemaliza siku vizuri
 
hizi ?

passenger loco top speed 160 kph to arrive at mombasa later this year

secondary passenger already on site being used in sgr track construction

freight locomotive max speed 100 kph, already being used in sgr construction.

Hahaaa mwaka huu lazma tuwaumbue tuu, jamaa wanatupia picha za treni za china eti zao, ilhal hapo nairobi wanakunya na kukojoa vituoni[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wabongo wanasikia uchungu niaje..... Tihahahhaaaaa
Kwanini wajisikie vibaya xaxa wabongo? Network ya treni Tz ni kubwa xana, Tz ilishafanya hilo la Treni miaka ya 1970s, na ile ya kikoloni reli ya iko mbioni kuibadilisha kuwa sgr, hawawez kuwa na roho mbaya hiyo.
 
Xaxa xana ??? What are you 10?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…