super black
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 566
- 533
Hizi akili za kukaaa unataka kufanya jambo uoneshe tz ni ujinga tu na hauna maana kashindane na s.africa sio tz kama mna uwezo umeacha kukaa kuwaza mambo ya msingi unawaza jinsi kuwaonesha watz hiyo ni inferiority kubwa sana poor kenyaniView attachment 444087 dear stupid danganyikans i present to you the new SGR kenya trains...View attachment 444074 View attachment 444076 View attachment 444077 View attachment 444078 View attachment 444079 View attachment 444080 View attachment 444081 View attachment 444082 View attachment 444083 View attachment 444084 View attachment 444085 View attachment 444086
Eiiiiish! Mbona yanatoa moshi vile... Wanatumia kuni?
Mbona kama za kwetu za miaka 40 iliyopita. Hapo watu wamekula cha juu, Tucheke Tusicheke? Tunaomba jibu kwa upole. [emoji1]Just what I anticipated......
Mbona kama za kwetu za miaka 40 iliyopita. Hapo watu wamekula cha juu, Tucheke Tusicheke? Tunaomba jibu kwa upole. [emoji1]
Haha haha, hilo ndio jibu la upole nililolitegemea, nilikuwa nimesha vaa Crush Helmet kama ungekuja na mashambulizi makali. Asante mkuu.Huh! lUnajua nini?? Hatukuwa na treni bwana.... Acha angalau tupate kama za Danganyika hivi
View attachment 449337
Tihihi... Mwanzi nambari waniHaha haha, hilo ndio jibu la upole nililolitegemea, nilikuwa nimesa vaa Crush Helmet kama ungekuja na mashambulizi makali. Asante mkuu.
Tanzania:Hizi akili za kukaaa unataka kufanya jambo uoneshe tz ni ujinga tu na hauna maana kashindane na s.africa sio tz kama mna uwezo umeacha kukaa kuwaza mambo ya msingi unawaza jinsi kuwaonesha watz hiyo ni inferiority kubwa sana poor kenyani
Ooooh na ni mtanzania mwenzako alieanzisha uzi huu kukashifu wakenya so Suck it!!Hizi akili za kukaaa unataka kufanya jambo uoneshe tz ni ujinga tu na hauna maana kashindane na s.africa sio tz kama mna uwezo umeacha kukaa kuwaza mambo ya msingi unawaza jinsi kuwaonesha watz hiyo ni inferiority kubwa sana poor kenyani
Wooow [emoji7][emoji7][emoji7] they have already been branded with KR logo lools nice
Izo ni economy class. kuna middle na first class pia. More photos to follow soon.those seats hmmmhhh, bora upande mombasa raha tu duhh!!