Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Huenda kushindikana kuanza safari kati ya Dar na Moro ni kuwawezesha waliochukua mikopo ya mabasi zaidi ya mia wafanye biashara bila upinzani wamalize mikopo yao.Hata SGR ikija kuanza utakuja kusikia tu mambo ya kipuuzi kama haya, nchi ngumu sana hii.
Tanzania ya leo lolote linawezekana.Shenzi sanaa
Inawezekana tuko serious kuhujumu mipango yetu.Kwa kweli nchi hii hatuko serious kabisa na mambo yetu....
Matajiri wa mabasi hawezi kukubali na siyo kaskazini pekee ni nchi nzima, SGR ni wimbo wa tangu 2017 mpaka leo ipo kwenye majaribio miaka 7, shame on usJuzi Alhamisi abiria waliokuwa wakienda kaskazini walilazwa njiani wilayani Same bila kuambiwa sababu, na abiria waliokuwa waondoke Arusha walilalamika kushindishwa stesheni bila kuambiwa sababu za msingi. Haya matukio mawili yanatokea baada ya shirika la reli kutangaza kuongeza mabehewa sawa na idadi ya mwanzo! Je, kuna wsfanyakazi wa TRC kwa kushirikiana na wenye mabasi ya kaskazini wameamua kulihujumu shirika ili mabasi yapate abiria wengi kwa mtindo uliozoweleka wa kuzidisha nauli?
Wamiliki wa mabasi&malori hawataki kusikia habari za treni[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Hivi kuboresha reli route za MGR kutoka Dar -Kigoma/Mpanda/Mwanza na route ya MGR iliyoboreshwa kutoka Dar-Tanga/Moshi/Arusha ....Ni route ipi ingeilipa faida TRC maradufu? 🤔Juzi Alhamisi abiria waliokuwa wakienda kaskazini walilazwa njiani wilayani Same bila kuambiwa sababu, na abiria waliokuwa waondoke Arusha walilalamika kushindishwa stesheni bila kuambiwa sababu za msingi. Haya matukio mawili yanatokea baada ya shirika la reli kutangaza kuongeza mabehewa sawa na idadi ya mwanzo! Je, kuna wsfanyakazi wa TRC kwa kushirikiana na wenye mabasi ya kaskazini wameamua kulihujumu shirika ili mabasi yapate abiria wengi kwa mtindo uliozoweleka wa kuzidisha nauli?
Zote zinafaida sawa tatizo ni kutokujua matumizi sahihi ya treni, ufinyu wa uelewa wetu unatufanya tuweke kipaumbele cha kusafirisha abiria badala ya mizigo, hauwezi kujenga reli kwa ajili ya abiria, abiria wanajazia baada ya mizigo na tusije tukashangaa SGR kushindwa maana upo muekekeo wa abiria ili pongezi zijae kibubu cha mama. Katika hali ya kawaida majaribio ya reli hiyo yangeanza na kusafirisha mizigo ili kuona uimara wake badala ya kupitisha kichwa cha mwendawazimu bila mabehewa!Hivi kuboresha reli route za MGR kutoka Dar -Kigoma/Mpanda/Mwanza na route ya MGR iliyoboreshwa kutoka Dar-Tanga/Moshi/Arusha ....Ni route ipi ingeilipa faida TRC maradufu? 🤔
Kama walikuwa wanang'oa vipuli kipindi kile cha Sabaya hawashindwi kuwapa pipi hao TRCJuzi Alhamisi abiria waliokuwa wakienda kaskazini walilazwa njiani wilayani Same bila kuambiwa sababu, na abiria waliokuwa waondoke Arusha walilalamika kushindishwa stesheni bila kuambiwa sababu za msingi. Haya matukio mawili yanatokea baada ya shirika la reli kutangaza kuongeza mabehewa sawa na idadi ya mwanzo! Je, kuna wsfanyakazi wa TRC kwa kushirikiana na wenye mabasi ya kaskazini wameamua kulihujumu shirika ili mabasi yapate abiria wengi kwa mtindo uliozoweleka wa kuzidisha nauli?