Treni ya kaskazini inahujumiwa?

Hivi karibuni TRC ilitangaza kuwa treni ya kaskazini itakuwa na mabehewa 16, hiyo ni idadi kubwa sana ya abiria na imepunguza mzigo mkubwa kwenye mabasi ambao umetikisa usafirishaji, kwani wakizungumza na dereva, TT na gadi kisha wakamuacha achomoe fyuzi kunashida gani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…