Ndo SGR sasa.. ha ha ha haaaaa....Ni zaidi ya miaka nane sasa imepita toka Dr. Mwakyembe autangazie umma juu ya mradi wa treni ya kisasa kwa mkoa wa Dar es salaam lakini mpaka leo hakuna taarifa yoyote kuhusu huu mradi ulifikia wapi. Pia Mwakyembe alisisitiza kuwa huyu baba alikuwa tayari kuleta hizo treni hata kesho yake tu.
Zile safari za Kutoka Mjini kati hadi Pugu bado zipo?Ni zaidi ya miaka nane sasa imepita toka Dr. Mwakyembe autangazie umma juu ya mradi wa treni ya kisasa kwa mkoa wa Dar es salaam lakini mpaka leo hakuna taarifa yoyote kuhusu huu mradi ulifikia wapi. Pia Mwakyembe alisisitiza kuwa huyu baba alikuwa tayari kuleta hizo treni hata kesho yake tu.
ZipoZile safari za Kutoka Mjini kati hadi Pugu bado zipo?
Hapa TISS walipaswa kufanya kazi yao kabla hata wananchi hatujaletewa hiyo taarifaKuhusu suala la mradi huo,ilibainika baadaye juwa huyo mwekezaji hakuwa na uwezo wowote wa kifedha katika mradi huo wala hakuwa na ofisi yoyote huko Marekani alikotokea badala yake ilikuwa janja janja ya kutaka kupiga pesa za umma kwa mgongo wa nyuma wa waliomleta nchini. Tungepigwa kipigo kitakatifu kama tulivyozoea kupigwa kama pesa za Radar, escrow, melemeta, Tangold n.k naona hapa Malaika alitunusuru vilivyo.
Kweli kabisa mkuu.Hapa TISS walipaswa kufanya kazi yao kabla hata wananchi hatujaletewa hiyo taarifa
Tukubali tu katika matapeli waliwahi kutokea Tanzania mmojawapo ni Harrison Mwakyembe. Ukimuina hapo kwenye picha unaweza sema ni mtu wa maana. Kumbe TAPELI tuNi zaidi ya miaka nane sasa imepita toka Dr. Mwakyembe autangazie umma juu ya mradi wa treni ya kisasa kwa mkoa wa Dar es Salaam lakini mpaka leo hakuna taarifa yoyote kuhusu huu mradi ulifikia wapi. Pia Mwakyembe alisisitiza kuwa huyu baba alikuwa tayari kuleta hizo treni hata kesho yake tu.
View attachment 2452399
Duh!....Kuhusu suala la mradi huo,ilibainika baadaye juwa huyo mwekezaji hakuwa na uwezo wowote wa kifedha katika mradi huo wala hakuwa na ofisi yoyote huko Marekani alikotokea badala yake ilikuwa janja janja ya kutaka kupiga pesa za umma kwa mgongo wa nyuma wa waliomleta nchini. Tungepigwa kipigo kitakatifu kama tulivyozoea kupigwa kama pesa za Radar, escrow, melemeta, Tangold n.k naona hapa Malaika alitunusuru vilivyo.
Tutajie utapeli wake au chuki zako weka ushahidi wowoteTukubali tu katika matapeli waliwahi kutokea Tanzania mmojawapo ni Harrison Mwakyembe. Ukimuina hapo kwenye picha unaweza sema ni mtu wa maana. Kumbe TAPELI tu
Je ulifuatilia kujua kama anazo au hapana au kama kuna mchezo ulikuwa unachezwa kwa muwekezaji huko kwao, Je unafahamu nini kuhusu economic hit man duniani ili nchi zingine zicheleweshwe kimaendeleoNakumbuka wakati Mwakyembe akimtambulisha huyo jamaa kwa wanahabari moja ya kauli aliyoitoa kumsifia huyo Bw. Shumake ilienda hivi: ".......huyu baba ana hela huyu!....."
Una macho huwezi kuyatumia?? Soma uzi uone Robert Shumake alifikaje TanzaniaTutajie utapeli wake au chuki zako weka ushahidi wowote
As long as serikali na wanasiasa wa serikalini ndio wana sauti na UDART then hata aje nani mradi utawafia tuUkifuatilia utagundua aliona atapigwa.
Watu udart tu wanaionea gere na ni ya umma. Europe Kuna makampuni mengi sana yanatamaninkutoa huduma hii Kwa sababu inalipa Tena Kwa ubora international standard..lkn eti uzawa...
wkt kwenye mwendo Kasi wakinamama tunakutana kumitalimbo inatutesa, maana mwanaume alisikia joto inasimama. Tunavyobanana basi unahangaika. Ukisema umebanwa
Dar es salaam waliishaamua kujimilikisha huduma ya usafirishaji. Nakumbuka Hadi nikiwaona wazee wanaojiita wamiliki wa mabas Dala Dala Jijini naaumia..
Wanaangalia maslah yao.nakumbuka ilikuwa kipindi Cha kashafa ya mdg wa Marehem Kingunge....kupewa tenda ya kukatisha tiketi us terminal