Treni ya kwenda Arusha bado inafanya kazi?

Treni ya kwenda Arusha bado inafanya kazi?

Woow, akili imenituma....

Treni Dar Arusha, kisha gari ya tour (cruiser) hadi Ngorongoro na viunga vyake... Tarangire Manyara na kurudi kwa treni.

Then Treni hadi Mwanza kisha tour cruiser hadi Serengeti na kurudi.

Akili ya bata bin Mahaba 😋.
 
Hivi na ile treni ya Mwakiembe bado ipo? Ile iliyokuwa ikipiga route za Jijini Dar!
 
Back
Top Bottom