Treni ya Mwendokasi Kutoka Dar es Salaam - Morogoro Kuanza Safari Mwezi Julai 2023

Treni ya Mwendokasi Kutoka Dar es Salaam - Morogoro Kuanza Safari Mwezi Julai 2023

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

Treni ya Mwendokasi Kutoka Dar es Salaam - Morogoro Kuanza Safari Mwezi Julai 2023

Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Atupele Mwakibete amesema safari za treni ya mwendokasi (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro zitaanza Julai mwaka huu.

Mwakibete ameyasema hayo Alhamisi Juni mosi 2023 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Khadija Hassan Aboud. Aidha, Mwakibete amesema Juni yatawasili mabehewa yenye ghorofa huku vichwa vya treni hiyo vikitarajiwa kuwasili Julai.
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2023-06-03 at 12.42.13.jpeg
    WhatsApp Image 2023-06-03 at 12.42.13.jpeg
    36.3 KB · Views: 9
Na sasa ivi ni mwezi wa ngapi wakuu!?? Acheni kusikiliza na kuamini maneno ya wanasiasa ni uongo mtupu.
 
kuna changamoto sana ya kutokuwa wakweli kwa viongozi wetu then wanategemea kujenga taifa lenye umoja na mshikamoano.
 
kuna changamoto sana ya kutokuwa wakweli kwa viongozi wetu then wanategemea kujenga taifa lenye umoja na mshikamoano.
Hii treni kufika moro sasa itakwenda 10 dom 20 mwanza 30 yaani ni mpaka 2050
 
Back
Top Bottom