Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Kadada kafupi!!! Kametitia. Watanzania wengi wanafupika kutokana na lishe duni
Ndio atakuwa muhudumu wa treni??
Umefukua kaburi๐๐๐๐Asante Sana Kwa taarifa
Ha haUmefukua kaburi๐๐๐๐
Hii treni kufika moro sasa itakwenda 10 dom 20 mwanza 30 yaani ni mpaka 2050kuna changamoto sana ya kutokuwa wakweli kwa viongozi wetu then wanategemea kujenga taifa lenye umoja na mshikamoano.