Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Kwanza niwapongeze kwa huduma zetu nzuri za usafiri wa treni, hata hivyo kuna hii changamoto naileta kwenu; Kuna baadhi ya vituo vipo nje kabisa ya Mji, mfano; MOROGORO, Pugu nk na hakuna usafiri wa kueleweka zaidi ya bajaji; sasa mtu anakwenda na usafiri wake asubuhi ili jioni akirudi apate usafiri; Bei mliyoweka ya shs 1000 kwa lisaa, ni bei juu sana kwani mtu anapaki gari kwa muda mrefu.
Najua mnasafiri Nje ya Nchi hivyo mnajua jinsi wenzenu wanavyofanya; Treni huwekwa kusaidia kupunguza magari/msongamano barabarani, mazingira nk nk hivyo parking fee kwenye vituo vya treni zipo chini sana (mfano 300shs kwa lisaa), Na hii ni kwa sababu watu hupaki kwa muda mrefu (wastani wa masaa 8 hadi 12)
Nawashauri mlifuatilie hili huku mkizingatia hali ya uchumi wa wananchi msije kulinganisha bei ya Ujerumani na Tanzania wakati mshahara wao wa chini ni zaidi ya mara 7 ya Tanzania.