Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 213
- 671
Kapande Shabiby cha ajabu nini kwani kuna ulazima wa kupanda SGR?Mambo ya ajabu ajabu
Usinipangie na kodi yangu.Kapande Shabiby cha ajabu nini kwani kuna ulazima wa kupanda SGR?
Tatizo mwizi Kadogosa alisema treni itakuwa ikihifadhi umeme wake endapo umeme utakatika, kiko wapi?Wa Tanzania gubu sasa unajuwa umeme umekatika shida nini? utasema kitu cha ajabu sana nchi nzima umeme umekatika sehemu kubwa kwa hiyo kusubiri tu imekuwa shida? Basi na siku zingine kukiwa hakuna shida zinafika salama muwe mnaandika sio negative tu.
Kodi yako......basi acha kujifanya kulalamika hata hapo kwako labda hauna umeme unawaambia nini watoto wako wasubiri. Basi utasema kweli unalipa kodi... wenye kulipa kodi hawaongeiUsinipangie na kodi yangu.
Mtu mwenye afya hahitaji daktari kumtibu ugonjwa.Wa Tanzania gubu sasa unajuwa umeme umekatika shida nini? utasema kitu cha ajabu sana nchi nzima umeme umekatika sehemu kubwa kwa hiyo kusubiri tu imekuwa shida? Basi na siku zingine kukiwa hakuna shida zinafika salama muwe mnaandika sio negative tu.
Toa credit mkuuTreni ya SGR iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma imekwama kwenye Stesheni ya Kilosa baada ya Umeme kukatika, tuko hapa tunasubiri umeme urudi ndio safari iendelee, tumeambiwa Grid ya Taifa imezima.."
Kabla hayajafika tulishauri haya Madude yaje na "Power bank" lakini Mfumgwa wetu mtarajiwa Bwana Kadogosa akasema umeme ukikatika yanatumia Diesel.
Haya Kiko wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....?
View attachment 3168603
Sio gubu masanja kadogosa alisema treni inatumia umeme na mafuta ikitokea changamoto ya umeme treni itahamia kwenye mfumo wa mafuta kwanini tudanganywe?Wa Tanzania gubu sasa unajuwa umeme umekatika shida nini? utasema kitu cha ajabu sana nchi nzima umeme umekatika sehemu kubwa kwa hiyo kusubiri tu imekuwa shida? Basi na siku zingine kukiwa hakuna shida zinafika salama muwe mnaandika sio negative tu.
Kila raia wa nchi analipa kodi.Kodi yako......basi acha kujifanya kulalamika hata hapo kwako labda hauna umeme unawaambia nini watoto wako wasubiri. Basi utasema kweli unalipa kodi... wenye kulipa kodi hawaongei
Inabidi haya maswali aulizwe atoe ufafanuzi ila kwa kumsikiliza hapa anasema kuna vichwa vitaletwa vichache dual maana bado havijaja sasa hizi issue tech ni wajibu wao kuzielezea vizuri inawezakana back up haizidi nusu saa haya ni wao kutoa ufafanuzi. TRC hawakufanye enough test haya yote anayosema yalitakiwa kufanywa kwenye commissioning different scenarios sijui kama walifanya.Tatizo mwizi Kadogosa alisema treni itakuwa ikihifadhi umeme wake endapo umeme utakatika, kiko wapi?
View: https://youtu.be/3pByESZbTZc?si=e0bsYnqEcomQ1cVN