Treni ya SGR sio mali ya CCM ni mali ya Watanganyika. WanaCCM acheni kutafuta sifa. Hayati Magufuli angekuwa amemaliza ujenzi

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Mnataka kufanya kama mali ya chama? Kila siku kupigia picha ndani ya treni?
Mbona Kama angekuwepo Magufuli ingekuwa imefika Mwanza.

1000030220.jpg
 
Mnataka kufanya kama mali ya chama? Kila siku kupigia picha ndani ya treni?
Mbona Kama angekuwepo Magufuli ingekuwa imefika Mwanza.

View attachment 3064576
Wmejaza mapete vidoleni utadhani kila walipo wanapunga majini..watu km hawa viongozi wa imani za kikristo muwe mnawatenga, ili akaabudu kwa uhuru hayo mapete yake..anaendeleaje kuingia kanisani na ujinga huo vidoleni?
 
Basi tuseme hivi, ni kazi nzuri ya CCM.
maaana hiyo SGR inatokana na ILANI ya CCM.
na Rais dkt Samia Kaisimamia vyema ilani na matokeo yake sasa tunateleza na SGR.

5tena kwa Mama.
 
Labda kama una chuki zako binafsi lakini Mama anastahili pongeza, miaka miwili na nusu imefika Dodoma. Aliyekaa miaka 6 haikufika hata Pugu, na pia miradi inaenda bila kusimamisua ajira wala madaraja ya wafanyakazi, Mzee yeye alisimamisha ajira na madaraja akisema pesa anajenga miradi
 
Wmejaza mapete vidoleni utadhani kila walipo wanapunga majini..watu km hawa viongozi wa imani za kikristo muwe mnawatenga, ili akaabudu kwa uhuru hayo mapete yake..anaendeleaje kuingia kanisani na ujinga huo vidoleni?
Za kiganga hizo. Kuna mmoja aliivua na bahari nzuri mke wake akaipoteza.
Jamaa alifukuza mke wake.
 
Kama vile nilikuona kwenye uchochoro sehemu fulani uko arosto na bangi inafuka moshi
 
Labda kama una chuki zako binafsi lakini Mama anastahili pongeza, miaka miwili na nusu imefika Dodoma. Aliyekaa miaka 6 haikufika hata Pugu, na pia miradi inaenda bila kusimamisua ajira wala madaraja ya wafanyakazi, Mzee yeye alisimamisha ajira na madaraja akisema pesa anajenga miradi
Ongeza na hii:

Ameifikisha Dodoma huku akiwalipa wafanyakazi wa umma annual increment za mishahara na akiajiri pia. Kubwa kuliko anajenga kwa mkopo na hadanganyi kuwa ni fedha za ndani. Mwishowe HANYANG'ANYI fedha ya tajiri yeyote iliyopo benki.
 
Mnataka kufanya kama mali ya chama? Kila siku kupigia picha ndani ya treni?
Mbona Kama angekuwepo Magufuli ingekuwa imefika Mwanza.

View attachment 3064576
Kwahiyo baada ya kukamilika imekuwa ya kila mtu? Mbona ilipokuwa inajengwa mlikuwa mnaikejeli eti Serikali ya CCM HAIWEZI kujenga SGR? Wengine mkasema (na uzi umo humu JF) kuwa SGR itakamilika baada ya miaka 100! Ahahahahaha!!
 
Back
Top Bottom