Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Mali ya maccm?NI mali ya CCM lkni tunailipia wananchi
Wmejaza mapete vidoleni utadhani kila walipo wanapunga majini..watu km hawa viongozi wa imani za kikristo muwe mnawatenga, ili akaabudu kwa uhuru hayo mapete yake..anaendeleaje kuingia kanisani na ujinga huo vidoleni?Mnataka kufanya kama mali ya chama? Kila siku kupigia picha ndani ya treni?
Mbona Kama angekuwepo Magufuli ingekuwa imefika Mwanza.
View attachment 3064576
Kwani tuna cha wakuwafanya hata wakisema ni ya kwao?Mali ya maccm?
yeee! bhaghoshaa, yaya lolo! Chii..!
Mnataka kufanya kama mali ya chama? Kila siku kupigia picha ndani ya treni?
Mbona Kama angekuwepo Magufuli ingekuwa imefika Mwanza.
View attachment 3064576
Ni ushamba tu wa mboga mbogaMnataka kufanya kama mali ya chama? Kila siku kupigia picha ndani ya treni?
Mbona Kama angekuwepo Magufuli ingekuwa imefika Mwanza.
View attachment 3064576
Za kiganga hizo. Kuna mmoja aliivua na bahari nzuri mke wake akaipoteza.Wmejaza mapete vidoleni utadhani kila walipo wanapunga majini..watu km hawa viongozi wa imani za kikristo muwe mnawatenga, ili akaabudu kwa uhuru hayo mapete yake..anaendeleaje kuingia kanisani na ujinga huo vidoleni?
Ulienda kupiga picha ukazuiliwa?Mnataka kufanya kama mali ya chama? Kila siku kupigia picha ndani ya treni?
Mbona Kama angekuwepo Magufuli ingekuwa imefika Mwanza.
View attachment 3064576
Ongeza na hii:Labda kama una chuki zako binafsi lakini Mama anastahili pongeza, miaka miwili na nusu imefika Dodoma. Aliyekaa miaka 6 haikufika hata Pugu, na pia miradi inaenda bila kusimamisua ajira wala madaraja ya wafanyakazi, Mzee yeye alisimamisha ajira na madaraja akisema pesa anajenga miradi
Mnataka kufanya kama mali ya chama? Kila siku kupigia picha ndani ya treni?
Mbona Kama angekuwepo Magufuli ingekuwa imefika Mwanza.
Ange...ange... ange. fala sana wewe. Kama unaweza kamwamshe basi.Mnataka kufanya kama mali ya chama? Kila siku kupigia picha ndani ya treni?
Mbona Kama angekuwepo Magufuli ingekuwa imefika Mwanza.
View attachment 3064576
Mnataka kufanya kama mali ya chama? Kila siku kupigia picha ndani ya treni?
Mbona Kama angekuwepo Magufuli ingekuwa imefika Mwanza.
Kwahiyo baada ya kukamilika imekuwa ya kila mtu? Mbona ilipokuwa inajengwa mlikuwa mnaikejeli eti Serikali ya CCM HAIWEZI kujenga SGR? Wengine mkasema (na uzi umo humu JF) kuwa SGR itakamilika baada ya miaka 100! Ahahahahaha!!Mnataka kufanya kama mali ya chama? Kila siku kupigia picha ndani ya treni?
Mbona Kama angekuwepo Magufuli ingekuwa imefika Mwanza.
View attachment 3064576
Tayari mbona