Pamoja na kuipongeza serikali kwa kuanza ujenzi wa reli ya standard gauge ambayo treni zake zitakuwa za Umeme, najiuliza huo umeme wa uhakika upo?
Wenzetu nchi zilizoendelea wanatumia umeme wa nuclear, sisi bado tunabangaiza na umeme wa maji kidogo na gesi. Bado hatujawa na umeme wa Uhakika. Nchi za Kenya, Nigeria zimeshindwa kutumia treni za umeme, sisi tutaweza kweli? Treni zisije kuzimikia maporini kwa kukatika umeme!
Tatizo unawaza matatizo, shida, tabu, na mahangaiko.Pamoja na kuipongeza serikali kwa kuanza ujenzi wa reli ya standard gauge ambayo treni zake zitakuwa za Umeme, najiuliza huo umeme wa uhakika upo?
Wenzetu nchi zilizoendelea wanatumia umeme wa nuclear, sisi bado tunabangaiza na umeme wa maji kidogo na gesi. Bado hatujawa na umeme wa Uhakika. Nchi za Kenya, Nigeria zimeshindwa kutumia treni za umeme, sisi tutaweza kweli? Treni zisije kuzimikia maporini kwa kukatika umeme!
Usiwe negative kiasi hicho ndugu yangu. Katika maisha huwezi kusubiri kila kitu kiwe sawa ndio ufanye unavyotaka hilo halitatokea kamwe hata katika maisha yako wewe binafsi. Mambo mengine yanafanyika simulteneously au linafanyika jambo moja then kama kutakuwa na mpungufu yanarekebishwa. Halafu hii tabia ya kuona kwamba kwa sababu kenya au Nigeria hawajafanya basi na sisi hatutaweza ni ujinga na ulofa. Kila nchi ina mipango na vipaumbele vyake.Pamoja na kuipongeza serikali kwa kuanza ujenzi wa reli ya standard gauge ambayo treni zake zitakuwa za Umeme, najiuliza huo umeme wa uhakika upo?