Treni za Umeme

Treni za Umeme

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
2712b89c-5c0f-4c6d-a781-a5bde8d3d1c2.jpeg

Tunahitaji treni za umeme zipite izo sehemu zote ili maisha yawe rahisi kwetu kw kusafiri hii nchi kubwa; tumechoka daladala au kosta za mikoani.
 
View attachment 2888306
Tunahitaji treni za umeme zipite izo sehemu zote ili maisha yawe rahisi kwetu kw kusafiri hii nchi kubwa; tumechoka daladala au kosta za mikoani.
Mkuu umechorachora kwa kufikiri nchi flat kama screen au umeangalia milima na mabonde?

Naona kama umepitisha treni juu ya mlima Kilimanjaro vile.
 
Nimeweka general idea tu kw ipite kw iyo mikoa. Usiichukulie 100% accuracy mkuu
 
Back
Top Bottom