Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Mkuu umechorachora kwa kufikiri nchi flat kama screen au umeangalia milima na mabonde?View attachment 2888306
Tunahitaji treni za umeme zipite izo sehemu zote ili maisha yawe rahisi kwetu kw kusafiri hii nchi kubwa; tumechoka daladala au kosta za mikoani.
Nimeweka general idea tu kw ipite kw iyo mikoa. Usiichukulie 100% accuracy mkuuMkuu umechorachora kwa kufikiri nchi flat kama screen au umeangalia milima na mabonde?
Naona kama umepitisha treni juu ya mlima Kilimanjaro vile.
ndotoView attachment 2888306
Tunahitaji treni za umeme zipite izo sehemu zote ili maisha yawe rahisi kwetu kw kusafiri hii nchi kubwa; tumechoka daladala au kosta za mikoani.
Ndoto ndo zinaleta mabadiliko; hata Elon Musk aliwahi kuota kwenda Mars na anaenda. By the way nimesema tunahitaji i didn't predict it will happenndoto