Akifanikisha haya maandamano itabidi tumpatie mitano 5. Ajitokeze na awe mstari wa mbele katika maandamano, yeye na wapendwa wake.
Kama hatoweza basi atukabidhi chama chetu, usukani afanye kumkabidhi Tundu Lissu mwenye hasira za kutosha, ana faili lake sehemu na huwa hana uoga wowote.
PEOOOOOOOOOOOOPLEZ