Tribunal Upholds Govt of Tanzania for Banning Concentrate Exports

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Posts
17,214
Reaction score
15,853
In Summary

  • The Tax Revenue Appeals Board (TRAB) has officially ‘blessed’ the government’s decision to ban exports of mineral concentrates for Bulyanhulu Gold Mine Limited (BGM).
  • The government issued a ban on exports of mineral concentrates and ores for metallic minerals such as gold, copper, nickel and silver in March, 2017 in what President John Magufuli’s administration said was a deliberate move meant to ensure that Tanzania gets the rightful share of proceeds from mining activities.
Advertisement

 
Hii ndio imf wamekuwa wakiita interference with economy.

Yaani kukomesha wizi wa wazungu kwa IMF inamaana nyingine!

Hawa ni kukomaa nao hivi hivi. Pengine wanafikiri Afrika haijitambui.
IMF wanaikomalia Tanzania utadhani wanafanya special audit. Mbona hatuoni taarifa za nchi zingine?
 
Ni hatua ya kupigiwa mfano kwa wapenda maendeleo USAWA na haki kwa bara lao la Afrika.
 
Hawa ni kukomaa nao hivi hivi. Pengine wanafikiri Afrika haijitambui.
IMF wanaikomalia Tanzania utadhani wanafanya special audit. Mbona hatuoni taarifa za nchi zingine?
IMF wajingaa tu. Wanatetea wazungu huku wazungu wananyonya nchi za Kiafrica kama biskuti. Wazungu wameikandamiza DR Congo. Kamwe msikubali kuibiwa Watanzania.
 
IMF wajingaa tu. Wanatetea wazungu huku wazungu wananyonya nchi za Kiafrica kama biskuti. Wazungu wameikandamiza DR Congo. Kamwe msikubali kuibiwa Watanzania.

IMF siku zote hawataki waAfrika wajitambue. Hizi shida zote za sijui report ya IMF, ni kutokana na msimamo wa Rais wetu. Na sijui tufanyeje, ili wasimuharibie. Maana nakumbuka Gadaff alipoanza kujitambua na kuanza kusema mafuta ni madini na lazima yawe exchanged na gold na si makaratasi. Walipoona analikazania hilo pamoja na mambo mengine, nadhani unaelewa nini kilichompata Gadaff na sasa yuko wapi.
 
Tatizo ni hawa traitors kutokea ndani, ndio huangusha mipango yote ya serikali. Ni kuwa bamiza kiukweli kweli mpaka waelewe, kuna sehemu tunataka tuelekee.

Gaddaf(Mungu amrehem) aliawa na vibwengo wake mwenyewe aliowalisha wakakua.mwisho wakaja kusikiliza stori za nje, lao hii wana story ya kutupa.
 
Gadaffi alichukiwa na watu wake, Mashetani walimwaga silaha kwa vijana na kuwaambia wamng'oe Gadafi mamlakani. Hio sio kweli kumhusu Magu. Nadhania Magu anapendwa.
 
Gadaffi alichukiwa na watu wake, Mashetani walimwaga silaha kwa vijana na kuwaambia wamng'oe Gadafi mamlakani. Hio sio kweli kumhusu Magu. Nadhania Magu anapendwa.

Gadaff hakuchukiwa na wananchi wake hiv hivi. Ni mashetani ndiyo yaliyoanza kuwasonga wananchi ya kwamba huyu mtawala wenu ni mbaya. wakamwaga silaha, wakamtoa. Lkn nadhani unajua nini kimeipata Libya baada ya kuondoka Gadaff. Kuna zaidi ya libya mia ndani ya nchi hiyo.
 
Wajumbe Wateuliwa wa bodi hii Tax Revenue Appeals Board ya Tanzania kweli wana uhuru wa kufanya maamuzi kinyume na kuunga juhudi za serikali ya awamu ya Tano ?!. Si dhani wanaweza kwenda kinyume na namna drama nzima ya makinikia ilivyokuwa inatangazwa live kila hatua katika TBC.
 

Hizo ni dhana na si uhalisia wa jambo lenyewe.
Hicho chombo kinaaminika na ndiyo maana BGM wenyewe walipeleka shauri hilo huko TRAB.
 
Imf watakula kwao TZ imeshachoka kuibiwa,we need to b free from the exploitation of our natural resources especially minerals
 

Kwa tz hawawezi anzisha vita maana wanajua Magu ni wa Muda tu, wanasubiri aingie puppet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…