Tribute to Franco Luambo Makiadi

Nna ngoma zake zote jamaa baada ya kurehemika madiluu alishindwa kuvaa viatu vyake kabisa
Tatizo Madilu hakuachana vizuri na Master Franco, hata nyimbo za mwisho za Franco, Master aliamua kumshirikisha kijana wake wa zamani Sam Mangwana. Kwenye muongo na mulozi Ni watu wa kuchoma( Forever OK) Madilu Ni miongoni ambao mzee anawasema kwa umbea wao kuhusu afya yake alipokuwepo amelazwa ulaya. Kwa hiyo Madilu alikosa radhi za mzee
 
Kwenye hii picha Franco anatumia gitaa linaloitwa Gibson le Guitar, hili gitaa pia alitumia Robert Nesta Marley...hii picha Ni miaka ya 1980-82. TP OK Jazz ilikuwa kwenye mbi gu ya saba ya muziki. Upande was mkono wa kulia wa Franco Ni mpiga solo Gery Dialuangwa, na kushoto ambaye haonekani vizuri na nywele Ni mpiga base Mpudi Deca.
 
Kwani afya ya mzee ilikuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…