Tricky situation

mzabzab

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Posts
41,878
Reaction score
81,593
lets say jamaa has taken a gal out for a wikend get away kwenye ki island kama zenj hivi na while u there katika raha zenu za mapenzina jamaa katika kusema il love.... anasema jina la ex wake.
wewe kama demu utalichukuliaje hilo? na kidume atachukuwa maamuzi gani kupoza moto?
 
Umeharibu nini? hapo hakuna kanuni kujitetea kwako kunategemea na huyo mtu wako. "ishini nao kw akili sana"
 
Daaah...binafsi siwez kuelewa,unless mapenz ndo yanaanza,ila km tushakaa masiku kibao..sitakuelewa!
 
Kama wampenda mtakaa mlijadili na uwe open to it with logic rather than emotions. Inauma unalala na mtu alafu yeye ataje mtu mwingine... Katika situation umetoa kuna unafuu, mana hapa anajuwa kuwa ni ex.

Haya mambo ya kuependa ex yapo kwa watu mbali mbali. Kama imetokea hio inategemea sana kuwa muda gani umepita toka wameachana na huyo ex. kama ni zaidi ya miezi 6 then kazi ipo.... Kama ni chini ya miezi 3 then ni understandable kabisa na mwaweza lifanyia kazi as long as unaona kuwa pana mwelekeo wa huyo mhusika kutaka lifanyia kazi.
 
Inauma kujua hupendwi. . . .Kwanini?Wote tuna njaa ya kupendwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…