Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,396
- 4,080
Hakika matukio haya mawili yaliyofanywa na utawala wa awamu ya 5 chini ya aliyejiita mzalendo na rais wa wanyonge itabidi yaingie kwenye historia ya wizi na uongo kupata kutokana hapa nchini.
Tuliambiwa kuwa kampuni ya barrick tunaidai tril. 360 kwa kukiuka ulipaji kodi fedha ambazo ni nyingi sana lakini mwisho wa siku tukaambiwa zile fedha ni kanyaboya.
2. Tukio la pili ni hili la plea bargain
Tuliambiwa hizi fedha zipo hazina zitatumika kwa shughuli za maendeleo lakini jana mh.Rais samia alisema kuna fedha za plea bargain hazionekani ila zimefungulia akaunti china.
Wananchi tunajiuliza kwanini akaunti ifunguliwe china na kwa jina gani? Majibu ya maswali hayo tunaomba wahusika wake wakuu ambao wapo na mmoja alikuwa katbu mkuu na mwingine dpp watujibu.