Trilioni zetu 360 zipo wapi? Leo Bunge zima linapiga makofi kwa Trilioni 1.3!

Sio tunawadai hizo ni hasara walizosababishia taifa kwa kusafirisha makinikia kwa miaka 10+ bila kuulizwa na mtu, uufichage upumbavu wako fala wewe

..kama walisababisha hasara kwetu, maana yake waliingiza faida kwa upande wao.

..kwa msingi huo tulikuwa tunawadai Accacia / Barrick trillion 360.

..kama Magufuli na Kabudi wangedinda mpaka tukalipwa unafikiri leo tungeuza bandari yetu kwa Waarabu?
 
Waliokosea shabaha kwa Lissu bado wanaweweseka kwa kujaribu kumwaga damu. Dhambi ya kuua kila mtu anaikwepa kwa sasa.
Jambo la kushangaza ni kwamba huyo uliemjibu hapo anajitangaza mweyewe kuwa ni msomi, tena mwanasheria, mtu anayetakiwa kuwa na ufahamu mpana wa mambo muhimu.

Sasa watu kama hao ndio waliojazana huko CCM siku hizi. Na siyo ajabu huyu ni mbeba kadi wa chama hicho.
 
HAKUNA WABUNGE KUNA WAJUMBE WA CCM NDANI YA MAJENGO YA BUNGE
 
Kiutani utani Luhanga anaenda kuwa presidaa candidate...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…