Triple "C", CHAMA, ndani ya Msimbazi, Sakho nje!

Triple "C", CHAMA, ndani ya Msimbazi, Sakho nje!

Chama akirudi Bongo, iwe kwa Simba au Yanga, nitamuona wa ajabu sana. Hivi inakuwaje unafanikiwa hadi kusonga mbele, then ghafla unaamua kurudi nyuma sababu ya changamoto ndogo ndogo. Waafrika wa kusini mwa jangwa la sahara tunapenda sana kutukuzwa, ilhali ni wavivu. Chama yafaa apiganie namba, akomae asonge mbele, huku anapotaka kurudi hakuna jipya. Kwanza bongo mpira unachezwa na marefa, sio wachezaji. Mara Yanga wanapewa penati ya uongo na kweli ilimradi wasipoteze mechi AU goli la timu pinzani likataliwa ilimradi Simba asipoteze ushindi wake.

Ligi ambayo board ya ligi inazijali timu mbili tu. Ni kawaida kuona timu zingine zinacheza mpira saa 8, jua likiwa kali. Ila wafalme Simba na Yanga hawawezi kutana na hali hiyo.

Yani huku bongo kwa mchezaji mwenye akili na uwezo hawezi kubali kubaki miaka yote.
Na bado,, Utalia Sana...!
 
Back
Top Bottom