SIJUI kama wakuu na Wanasiasa wa Tanzania wakiwemo Kikwete, Lipumba, Slaa na wengineo wana habari kwamba China imekwishatengeneza Treni iendayo kasi kama zile za Japani na Ufaransa.
Na hivi ninavyoandika haya tayari Wachina wamewapiga chini Wajapani na kuikamata tenda ya kujenga treni iendayo mbio huko Saudi Arabia ili kurahisisha usafiri wa mahujaji nchini humo.
Kwa mtaji huu nitashangaa kama viongozi wetu kwa upofu na ubinafsi wao wataitoa tena TRL na TAZARA kwa watu wengine na sio WACHINA.