Trojan wananizuia internet

Trojan wananizuia internet

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2009
Posts
7,413
Reaction score
4,020
Waungwana toka jana computer yangu imekuwa blocked na internet na: Trojan.BNK.Win32.Keylogger.gen, ntajiokoaje na kituko hiki? naomba msaada tafadhali
 
unatumia antvirus gani kama vipi tumia antvirus ya ukweli kama kasper
 
Back
Top Bottom