Wadau mwenye taarifa za hawa watu waliita watu wakajaze form za mkataba wa kuanza kazi lakini,waliaambia mpaka mishahara yao itakapoonza kutoka ndio wataanza kazi. Je wale waliojaza form wameshaanzaaa ni miezi mitatu sana tangu wajaze form! Naomaba kuwakilisha