Yes, you are right! Umeolewa/umeoa na baadaye unakutana na ubavu wako (the so called true love). What will you do? probably ( I am not sure) , but not to give a second thought to anyone apart from your wife/husband. Do you know what, at one time, your spouse was your true love, but after spending sometimes together, your mind tells you that hafai tena, nilifanya makosa, na unampa nafasi mtu mwingine!
I do not agree. we have to learn to live and love our spouses, and make them our true love!!!
Upendo wa kweli ni zawadi ambayo Mungu amempa kila mmoja kwa ajili ya mmoja tu,unaweza kuwa na mahusiano na watu wengi lakini yupo ambae amekita kwenye ubongo wako na hatoki,huyu amaweza kuwa ni yule wa kwanza au wa pili,au hata watano,huyo ndo alie sahihi kwako,ukijikagua utagundua yupo kama hayupo kwenye kumbukumbu zako usihofu utakutana nae tu ni suala la muda,hakikisha unamuoa/unaolewa na huyo,ukiolewa na mwingine itakula kwako coz ndani ya moyo wako kuna nafasi ya huyo tu!!!!
A person ambae amepewa moyo wa kupenda na Mwenyezi Mungu
hupenda, huvunjwa, hu-rise tena... on going circle...
Mi personally naona love ika happen kwako na mwenza wako
katika maturity stage... it is more wonderful for you enjoy,
unajua wapi not to cross the line na kutokana na past mistakes
you are more appreciative... My first love was a jerk!
i wouldn't want to believe or ona kua sababu he was my first hakuna kama yeye...
that will be completely WRONG...
AD Mpenzi nashukuru kua tuna stand moja katika hili suala.... and the flowers nayaweka mezani nikifika home...lol.. THANK YOU..
The Following User Says Thank You to afrodenzi For This Useful Post:
Asha D (Today)
usijali
kabisa tuko pamoja kwenye hilo..
Vigumu kukataza macho kuona
na ni vigumu sana kuukataza moyo kupenda(tena)
Maneno Kuntu hayo.....
Kama unavyohisi juu yangu!Hivi true love ni nini? naomba darasa waheshimiwa!
Upendo wa kweli ni zawadi ambayo Mungu amempa kila mmoja kwa ajili ya mmoja tu,unaweza kuwa na mahusiano na watu wengi lakini yupo ambae amekita kwenye ubongo wako na hatoki,huyu amaweza kuwa ni yule wa kwanza au wa pili,au hata watano,huyo ndo alie sahihi kwako,ukijikagua utagundua yupo kama hayupo kwenye kumbukumbu zako usihofu utakutana nae tu ni suala la muda,hakikisha unamuoa/unaolewa na huyo,ukiolewa na mwingine itakula kwako coz ndani ya moyo wako kuna nafasi ya huyo tu!!!!
Yaani mimi niko serious nyinyi mnaleta mzaha? Fafanueni bana nataka kutunga kitabu mwezi ujao.