Truck/pick up ya 2 tons yenye tyre 3 toka china zinauzwa wapi hapa dar ?

SOKO LA MAGARI

Senior Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
115
Reaction score
67
TRUCK/PICK UP YA 2 TONS YENYE TYRE 3 TOKA CHINA ZINAUZWA WAPI HAPA DAR ?

Salama wakuu ? ? Pana magari yameingia hivi majuzi tu hapa jijini Dar, yanaunguruma kama tractor au power tila na bado mapya kabisa, yaonekana kubeba tani mbili hata zaidi kwa kukisia naomba kwa yeyote anayejuwa kampuni inayotauza au kuyaingiza nchini anijulishe, au mahala yanapo uzwa ? pia hata bei yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…