Kifaranga
Senior Member
- Jan 6, 2011
- 144
- 31
Wadau nina document (kadi ya gari) nataka niicertify copy yake kama true copy of original. Nilitaka kujua naweza kufanya hivyo pia mahakamani au?
Ninatakiwa niende na vitu gani ili kukamilisha hilo zoezi, kwa haraka haraka najua lazima uende na stamp duties kutika TRA na charge yake ni 5,000/= na pia lazima uende na original document.
Je mahakamni hakuna longolongo au?