Kama unafata utaratibu lazima original copy iwepo maana yake anayethibitisha amejiridhisha kuwa nakala kivuli ni kweli ni kivuli cha nakala halisiWadau nina document (kadi ya gari) nataka niicertify copy yake kama true copy of original. Nilitaka kujua naweza kufanya hivyo pia mahakamani au?
Ninatakiwa niende na vitu gani ili kukamilisha hilo zoezi, kwa haraka haraka najua lazima uende na stamp duties kutika TRA na charge yake ni 5,000/= na pia lazima uende na original document.
Je mahakamni hakuna longolongo au?