[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kwa hali hii ya joto mpaka tumeambiwa tutembee na maji basi nadhani uki provide hata kandoro mbili utakuwa loved
Pliiiiiiiz jomon[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iyeeee uchimpeleke chipitali huyooo. Mlete kwangu kwa jini majinini jini makatani ukipenda jini mbaruku tall
Iyeeee uchimpeleke chipitali huyooo. Mlete kwangu kwa jini majinini jini makatani ukipenda jini mbaruku tall
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseee nikiwa lupango nitakuwa naiwaza jfAnko police akija mwombe akutafsirie kabla ya kukukamata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kule lazima nifanye matukioUtaendeleza uchakaramu uko uko adi wakupatie cm
Wec mtoto ya mujini buanaa!