TRUE STORY baada ya kuokota sh mia nimeanza kuvimba majipu mwili mzima

TRUE STORY baada ya kuokota sh mia nimeanza kuvimba majipu mwili mzima

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu

Ni juzi niliposikia kiu kubwa sana nami mfukon nilikuwa na sh mianne tu lakin bahat nzur nikaona sh mia iko chin hivyo nikaikota ili niongezee kwenye hela ya maji

Kwanza nilifurah sana kuokota hiyo mia nikajua ni mapenz ta mungu maana kasiki kilio changu cha kiu iliyokuwa ina nisakama

Nilinunua maji nikanywa ili kupoza kiu

Lakin baada tu ya kunua maji nilianza kuwashwa mwili mzima kitu kilichopelekea kujikuna sana

Mda tu kidogo mwili ulivimba wote na kuumka vipele vikubwa na vidogo

Kwa sasa mwili wangu wote umevimba majibu

Nimeenda hospital kupima nikaambiwa sina ugonjwa

Kwa sasa nahaha sana sijui hata cha kufanya

Nateseka sana aisee

LONDON BABY
 
Tafuta mavi ya mamba jipake baada ya kuoga kwa siku sita tatizo lako litaisha
 
Ungejua kabla ya kuiweka mfukoni ungeikojolea. Ni pesa ya wenyewe
 
Correction: utakapoandika siku nyingine andika "Mungu" ukianza na herufi kubwa ili kuonesha ukuu wake. Kwakuwa hata majina ya binadamu wa kawaida majina yao husisitizwa kuandikwa kwa kuanza na herufi kubwa. Je Kwa Mungu Mkuu kuliko chochote kilichopo duniani au mbinguni, kitu chochote kinachoonekana hata kisichoonekana, si zaidi!?
 
Wapi mkuu naweza ombewa
Funga na kuomba utapokea uponyaji na utawekwa huru kutoka katika hicho kifungo chako, usisubiri mtu mwingine aje akuombee. Mwamini Mungu kuwa anaponya nawe utapokea uponyaji. Baada ya hapo usitende dhambi tena.
 
Yani kabla sijaufungua huu uzi nikajua huyu atakuwa London baby wa Koromije a.k.a Beira
 
Nakupa tiba ila niuchawi unajitubu na ugonjwa una uhamishia Kwa MTU mwengine ila nawewe umehamishiwa namtu sasa chakufanya uwepo nashilingi mia jikamulie jipu na hiyo pesa ikiwa na usaha wake nenda ukaitupe popote ambapo inaweza kuokotwa ikiokotwa tu umepona naugonjwa unahamia kwahuyo alie okota utakuja kuukumbuka ushauri wangu
 
Back
Top Bottom