True story: Jinsi nilivyopambana kutafuta mali za Mjerumani mkoani Morogoro, mauzauza na vimbwanga nilivyokutana navyo

Utaandika hadithi ndefu mwisho wa siku utasema haujafanikiwa kwa sababu Fulani ndivyo zilivyo story za Mali za wajuremani na rupia
 
Tuambie uo mlima tukafanye maombi ya hatari ili kizifungua nankuzipa uhalali izo mali.
 
jamani natafuta ile story ya magaidi wa kibiti, nikifika sehem ya 4, baada ya hapo uzi sikuuona. Mwenye mwendelezo anisaidie
Mm mwenyewe naitafuta nafikiri imefutwa niliishia sehemu ya sita mpk Sasa cuoni ule Uzi mpk sas
 
Sasa kama unaachana nayo, una haja gani ya kutuambia sie?, si uachane nayo kimya kimya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…