True story; kifo cha gen. Tewete

Wataonana lakini hawata conjugate
Conjugal rights ni haki za wafungwa wote wenye ndoa halali!. Kwa kawaida jela wakishajua hao ni mume na mke, kuna utaratibu wa kuwatenganishe watumie vifungo vyao magereza tofauti. Kwa vile conjugal right huwa practised gerezani, kwa mwanandoa aliye huru kumpelekea mwenzake aliyekifungoni kule alipo. Hivyo itakuwa ngumu kwao kupeana hudu hizo kwa vile hakuna yeyote kati yao aliye huru kumpelekea mwenzi wake huduma hiyo!.
 
wacha waendelee kufanya mazoezi ya kuvunja tofali kwa vichwa,sie tumeshahamia kwenye visu.
 
Jamani ni General au Major mnazidi kutuchanganya
 
jenerali mwenzangu rip,kweli hasira hasara,kweli mapenz kizunguzungu
 
Kweli uzinzi huleta upofu,na ni mbaya kwa ujumla,zinaa tunaambiwa tuikimbike.Ugonjwa wa mke wake umepelekea huyo baba kufa kipuuzi km mateka wa vita ya uzinzi,simhukumu,ila iwe fundisho kwetu.Hapo sasa wana ndugu wataanza kuigombea mafao ya marehemu.
 
Mnachanganya vyeo ni Meja aliechomwa kisu sio Gen!(Kuna tofauti ya vyeo 3 hapo)...ila habari ya kusikitisha sana sana...poleni sana wafiwa!!
 
Edson,unafaa kuanzisha chekechea ya great thinkers. Asante.
Aaa wapi, hayo maelezo ya Edson hayaendani kabisa na stori aliyoandika Fidel80. Kwa kifupi Edson ametoa stori ambayo tayari inafahamika lakini ukweli utabaki palepale kuwa kitu alichoandika Fidel hakieleweki na sielewi ni kwa nini hadi muda huu hajafanya mabadiliko yeyote.
 
mkuu, huyo mama ana kesi tamu sana, ukizingatia kwamba yeye mumewe yupo jela, yeye ni mpenzi wa Gen, na Gen akaamua kutembea na mfanyakazi mwenzake Aisha.......yani ni kwamba, Gen.. alikuwa anatungua sehemu ambayo Aisha angejua tu!!

tatizo ni kwamba, hatapata wakili, ana atakula mvua kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…