True Story: KISENGE

MpigfilimbiwaHamelin

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2014
Posts
652
Reaction score
167
Nyelwa Kisenge alikuwa DC huko Mbulu miaka ya 1980s, alikuwa DC mkali na mchapakazi sana. Alikuwa pia mfuatiliaji sana na aliibadilisha sana Mbulu. Miaka hiyo kulitokea ugonjwa wa Tauni na akaagiza kata 3 ziwe chini ya karantini.

Katika kutekeleza maagizo yake, Katibu Tarafa mmoja aliitisha mkutano wa hadhara na kuanza kuwaambia wananchi..

"Leo nimekuja kufuatilia maagizo ya Kisenge! Si wote mlisikia maagizo ya Kisenge? Nani hataki kutekeleza maagizo ya Kisenge? Lazima mtekeleze maagizo ya Kisenge! Kama mna malalamiko si kwangu, ni ya Kisenge!

RIP Mhe. Nyelwa Kisenge, pia alipata kuwa katibu wa chama Singida, Shinyanga, n.k. na ni mpare wa Usangi.

Poleni familia..
 
kumbe watendaji wachapakazi wa zama hizi wote wanafanya mambo ya Kisenge. maana kisenge alishayafanya since 1980's
 
dah kitambo sana huu Uzi wa kisenge niliuona na bado wakuu mnaleta udadavuzi zaid
 
Na ALIKUWA MPARE WA USANGI[emoji80] [emoji15] [emoji80] [emoji15] [emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…