King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
jockate alichezea bahati!
watu na bahati zao
jockate alichezea bahati!
Hiyo bahati ya kucheza NBA angeipata mtoto wa kiswahili kutoka Ilala, Magomeni, Temeke, Kariakoo, Kinondoni, tungekoma.
Hashim Thabit:
Enzi hizo tukiwa naye dodoma 90's yeye na mama yake walikuwa wakijikimu kimaisha kwa kuuza kahawa na kashata,hashim ndio aliyekuwa muuzaji,kweli maisha yana badirika,kwahyo vijana msikate tamaa,pambaneni.
Inasemekana ndio mwanamichezo/msanii wa kwanza kwa utajiri hapa tanzania
Ouuuuf!!sasa hii kazi yangu ya kuchoma vyuma mmenifanya niichukie ghafla! Beetle ndiyo gari ya ndoto yangu so far.
Hiyo bahati ya kucheza NBA angeipata mtoto wa kiswahili kutoka Ilala, Magomeni, Temeke, Kariakoo, Kinondoni, tungekoma.