True story: Mkuu wa shule alininajisi!

True story: Mkuu wa shule alininajisi!

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,619
shuleni kulikuwa na utaratibu wa kupimwa mimba kila tufunguapo shule baada ya wiki mbili.ila upimaji wake daaah huwa nautafakari sana
mkuu wa shule alikuwa wa kiume,daktari wa kiume even tulikuwa na matron hakuruhusiwa kuingia
chumba cha kupimia alikuwa anaingia headmaster na dokta wake
jinsi ya kupima,tulikuwa tunavuliwa nguo zote
dokta na mkuu wa shule wanakushika shika tumbo na matiti wanadai wanapima cancer
mkuu wa shule sometimes alikuwa anasema ulale na mgongo apime na homa ya uti wa mgongo
hii ilikuwa fair kweli? walikuwa wanakushika kweli hadi wadada wengine walikuwa wanazimia zoezi linaenda hata wiki
siku hzi sijui wanapimaje
 
Hahaha,nimewahi pata testimony kama hiyo pia.
Wengine wanatumia hadi vidole kupima nini sijui.....

Mara nyingi wanapima kweli,...lakini kupima huku kunaendana na unyanyasaji
wa kijinsia.
 
hii ilikuwa fair kweli
siku hzi sijui wanapimaje

...dahhhh, inauma sana na anastahili kushtkiwa kwa udhalilishaji popote pale alipo hata kama miaka imeenda!
 
shuleni kulikuwa na utaratibu wa kupimwa mimba kila tufunguapo shule baada ya wiki mbili.ila upimaji wake daaah huwa nautafakari sana
mkuu wa shule alikuwa wa kiume,daktari wa kiume even tulikuwa na matron hakuruhusiwa kuingia
chumba cha kupimia alikuwa anaingia headmaster na dokta wake
jinsi ya kupima,tulikuwa tunavuliwa nguo zote
dokta na mkuu wa shule wanakushika shika tumbo na matiti wanadai wanapima cancer
mkuu wa shule sometimes alikuwa anasema ulale na mgongo apime na homa ya uti wa mgongo
hii ilikuwa fair kweli
siku hzi sijui wanapimaje

usimlaumu!!!!mlaumu muumbaji!!!!!!!
 
Really??

Mie siamini!!

Ingawa nilipata story ya dada amabaye alinusurika kubakwa na Mkuu wa shule baada ya kumaliza Form 4 wakati wanachukua pesa zao za tahadhari (caution money)!!

Hii sijawahi kuisikia!

Babu DC
 
Hapo Dr angepigiwa simu halafu atoke nje kuzungumza nayo kama nusu saa hivi lazima mkuu wa shule angeomba kitu
 
Hallow babu DC
Missed you ....

Mbaya sana kukomaliwa na mwalimu
Uwe binti au mvulana
Harasiment ile ile..

Really??

Mie siamini!!

Ingawa nilipata story ya dada amabaye alinusurika kubakwa na Mkuu wa shule baada ya kumaliza Form 4 wakati wanachukua pesa zao za tahadhari (caution money)!!

Hii sijawahi kuisikia!

Babu DC
 
nahisi topic iko sehemu sio yake, pole lakini -nataani nami niwe headmaster wa enzi hizo
 
Hahaha,nimewahi pata testimony kama hiyo pia.
Wengine wanatumia hadi vidole kupima nini sijui.....

Mara nyingi wanapima kweli,...lakini kupima huku kunaendana na unyanyasaji
wa kijinsia.
kweli bwana sio fair
 
Huo utaratibu ni wa hatari sana aisee
 
Really??

Mie siamini!!

Ingawa nilipata story ya dada amabaye alinusurika kubakwa na Mkuu wa shule baada ya kumaliza Form 4 wakati wanachukua pesa zao za tahadhari (caution money)!!

Hii sijawahi kuisikia!

Babu DC
kweli babu siwezi danganya
 
kwa iyo nisemeje?

kunajisi ninavyojua ni kufanya mapenzi isivyotakiwa ilakupimwa tu na kushikwa hizo sehemu mimi naona ni kitu cha kawaida labda kama ulikuwa hujui kuwa kuna utaratibu kama huo
 
Really??

Mie siamini!!

Ingawa nilipata story ya dada amabaye alinusurika kubakwa na Mkuu wa shule baada ya kumaliza Form 4 wakati wanachukua pesa zao za tahadhari (caution money)!!

Hii sijawahi kuisikia!

Babu DC
Babu DC u khali gani? Habari za utokako? Ndio nini kupotea bila kuaga wajukuu zako? Bishanga anakutafuta sana. Karibu tena jamvini. Mie nimefurahi kukuona!

@ Smile unajua/ kuelewa maana ya kunajisiwa?... Poleni kwa kudhalilishwa huo upimaji ulikuwa kiboko..
 
shuleni kulikuwa na utaratibu wa kupimwa mimba kila tufunguapo shule baada ya wiki mbili.ila upimaji wake daaah huwa nautafakari sana
mkuu wa shule alikuwa wa kiume,daktari wa kiume even tulikuwa na matron hakuruhusiwa kuingia
chumba cha kupimia alikuwa anaingia headmaster na dokta wake
jinsi ya kupima,tulikuwa tunavuliwa nguo zote
dokta na mkuu wa shule wanakushika shika tumbo na matiti wanadai wanapima cancer
mkuu wa shule sometimes alikuwa anasema ulale na mgongo apime na homa ya uti wa mgongo
hii ilikuwa fair kweli? walikuwa wanakushika kweli hadi wadada wengine walikuwa wanazimia zoezi linaenda hata wiki
siku hzi sijui wanapimaje

inaelekea zoezi lilikuwa zito sana mpaka wanazimia?!!
 
Back
Top Bottom