Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Wewe unapo niuliza mimi una akili kweli wewe, itakuwa umenitukana? Hapo unauliza swali sidhani kama unatukana ningesama hana akili hapo sawa.
Wewe naona unatafuta tu njia moja au nyingine yakunifundisha lugha, ukifatilia sana wewe mwenyewe hujui kutofautisha kati ya vile na vile.
MIMI NAKULIZA WEWE TOKA LINI SWALI LIKAWA TUSI NIJIBU KWANZA AFU TUTAENDELEA.Unapomuuliza mtu kama ana akili una maana gani kweli......? Really fazaa....really?? Sina mpango wa kumfundisha mtu lugha coz mimi sio mama lugha..........after all huenda nikawa sijui/najua kutofautisha kati ya vile na vile (kama ulivyosema), but the point is.. ACHA DHARAU even though humjui hakujui!!
Hahaha! Ukisema testimony utamu unapotea, ukisema true story inanoga zaidi.... 'True Story ya kutunga' lol.
MIMI NAKULIZA WEWE TOKA LINI SWALI LIKAWA TUSI NIJIBU KWANZA AFU TUTAENDELEA.
Yani nikisema hivi wewe ni malaya basi nimeisha kuita wewe malaya? si unahaki ya kujibu afu wewe umekuwa msemaji wa smile au?
Kipipi kwani mimi ni mkoloni.....BTW smile kenda wapi mbona hajibu PM mana nimemtongoza mpaa akisoma atanionea huruma :biggrin:Direct and indirect rule.....zote hizo ni njia zilizotumiwa na wakoloni kuweza kuwatawa waafrica. Kama ilivyo kwa...akufukuzae hakwaambii toka..., pia akutukanae hakuchagulii tusi though aweza kuchagua namna ya kukutukana either kwa statement or kwa swali, provided ujumbe umefika! Hivyo basi....swali na statement vyote vyaweza kuwa tusi ama kejeli!!! Na mwisho kabisa, mimi sio msemaji wa Smile ila ni mchangiaji na mtoa maoni kwenye thread!
Hivi unajua maana ya kunajisi? Unasema kama hakuomba mzigo mengine sio mbaya????kama headmaster na daktari hawakuomba mzigo haina shida maana ishu sio kukushika matiti ishu ni kukuomba mzigo na kama ilikuwa inafanya kwenye closed place ambayo sio mbele za watu sio ishu sana
nilikuwa simjui mume mkuu nilikuwa brand new kabisaPole sana Smile! You should have said mapema! Kama hata mtuhumiwa na mhalifu hatakiwi kushikwa na kusachiwa na mtu asiye jinsia yake iweje ninyi watoto wadogo tena kipindi hicho ulikuwa haumjui mme! nasema uongo Smile?
sijatunga mkuu.kwani wengine wanapimwaje wote ni hvohvo tu hapa wanajikausha.sl hawezi jua maana ni mwanaumeMkuu nawe umesaidia sana kuzibainisha loose ends za story hii ya kutunga: hakika wewe umethubutu kuongea kwa uwazi, tofauti na comments za baadhi ya wana JF wengine zilikuwa zinasugar coat kwa maneno ya oh pole sana etc.
Smile unajua nazidi kukupenda, unaonaje tuendeleze mapenzi kule kwenye pm :biggrin:huruma kilio majonzi
Yeah Smile, I hate that too :biggrin:mbona jf mnapenda kutongoza tongoza sana.? i hate that
usimlaumu!!!!mlaumu muumbaji!!!!!!!
shuleni kulikuwa na utaratibu wa kupimwa mimba kila tufunguapo shule baada ya wiki mbili.ila upimaji wake daaah huwa nautafakari sana
mkuu wa shule alikuwa wa kiume,daktari wa kiume even tulikuwa na matron hakuruhusiwa kuingia
chumba cha kupimia alikuwa anaingia headmaster na dokta wake
jinsi ya kupima,tulikuwa tunavuliwa nguo zote
dokta na mkuu wa shule wanakushika shika tumbo na matiti wanadai wanapima cancer
mkuu wa shule sometimes alikuwa anasema ulale na mgongo apime na homa ya uti wa mgongo
hii ilikuwa fair kweli? walikuwa wanakushika kweli hadi wadada wengine walikuwa wanazimia zoezi linaenda hata wiki
siku hzi sijui wanapimaje