True story: Mkuu wa shule alininajisi!

kweli babu siwezi danganya

Ndiyo maana wakati mwingine nikiwaangalia mabinti mitaani na wajukuu zangu nahisi machozi kunitoka!!

Wanaume kwenye ngono tumelaaniwa....Hata sijui tutajitoaje kwenye laana hii!!

Babu DC!!
 
kuna mahali uliwahi kusema kuwa umekaa miaka 7 bila kunyoa ''mabwepande''(https://www.jamiiforums.com/mahusia...-ushuhuda-wa-kweli-niliishi-miaka-7-bila.html) sasa mimi niulize siku hiyo ya zoezi la kupima mimba ulivua vipi nguo zote? hedimasta na dokta hawakukwambia ukanyoe?...au hizi simulizi zenu hizi ni za kupotezea mda?

na hedimasta alikunajisi vipi?maana hujaeleza kwenye thrad yako hii.....na hii misemo yenu hii ya kuaminisha watu uongo hii eti ''true story''......
 
kwa kosa gani mbu nimfungulie mashtaka sasa hvi.maana nikikumbuka walivokuwa wanatugeuza geuza roho inauma sana

Smile,

Naamini mnaweza kufungua kesi endapo mtapatikana wengi ambao mtatoa ushahidi usioacha shaka kwamba kweli mlifanyiwa vitendo hivyo...

Hebu jaribu kuwasiliana na wanasheria au tusubiri wajuzi wa sheria waje watupashe zaidi..

Naona kama sitaweza kuendelee kuisoma hii hadithi..Inaniumiza sana roho!!

Babu DC!!
 

Ahsante SL,

Nilifichwa na Bibi, tulikuwa na retreat ya kujifunza kuuzoea uzee!! Anyway...niko mzima kabisa!

Hata mie nilistuka kidogo ila bado story inasikitisha sana!!

Babu DC
 
ona sijaona sehemu uliyonajisiwa? au mimi ndio sijui maana ya kunajisi
Mie bado niko na Kamusi ya kiswahili ya TUKI, natafuna maana ya hili neno kunajisi..................
Nikilipata nitaweka hapa ili tujue maana halisi ya hili neno kunajisi
 
kunyoa ni lazima?watu woote huku duniani hata kama wananyoa kila siku wana upara? hulazimishwi kuamini mkuu unilipi hata
 
Very interesting aisee watu wazima wanaona mengi eh
 
kunyoa ni lazima?watu woote huku duniani hata kama wananyoa kila siku wana upara? hulazimishwi kuamini mkuu unilipi hata

hasira hazitakiwi...mimi nimeuliza''hedimasta na daktari hawakutoa japo ushauri kuwa ukanyoe?.....ulijisiakia vipi wakati unavua maana kwenye thread yako ile ulisema kuwa ulikuwa huvui hovyo hovyo hataukiwa unaoga......pia wewe ulinajisia vipi siku ya zoezi hili la upimaji?
 

ulifanywa mara moja tu au kila term? ulimshirikisha mzazi, mlezi au yeyote baada ya zoezi ?
 
ngoja mr rocky aje babu
hawa waalimu wakorofi kweli
 
ulifanywa mara moja tu au kila term? ulimshirikisha mzazi, mlezi au yeyote baada ya zoezi ?
kwani nilikuwa najua upimaji wa mimba ukoje? mimi niliamini ndivo mimba inapimwa sasa ningestaki vp dear?
 
kwani nilikuwa najua upimaji wa mimba ukoje? mimi niliamini ndivo mimba inapimwa sasa ningestaki vp dear?

sio ushtaki, hata kumhadithia mzazi wako kwamba shule tunapimwa mimba kwa kugeuzwa guezwa na inauma? au hata marafikiri zenu hapo shule au wa shule nyingine hamhadithiani mkiwa mabwenini au likizo?

Na je mimbe mlipimwa mara moja (one time event) au ilibidi mpimwe ila term?
 
daah mimi mambo hayo nilikuwa naogopa sana kuyazungumzia.mimba zilipimwa kila term mara 2
 
daah mimi mambo hayo nilikuwa naogopa sana kuyazungumzia.mimba zilipimwa kila term mara 2

kwa nini ulikuwa unaogopa? kwani wewe pekee darasani kwenu ndo ulikuwa ukipimwa mimba? Je nini kimekusukuma kuyazungumzia haya mambo leo? (samahani kwa maswali mengi)
 
kwa nini ulikuwa unaogopa? Kwani wewe pekee darasani kwenu ndo ulikuwa ukipimwa mimba? Je nini kimekusukuma kuyazungumzia haya mambo leo? (samahani kwa maswali mengi)
tulikuwa tunachukia tunalalamika yanaisha tunasubiria msimu mwingine tena
by the way nimekumbuka tu nikaona ni shee na ninyi
 
kunyoa ni lazima?watu woote huku duniani hata kama wananyoa kila siku wana upara? hulazimishwi kuamini mkuu unilipi hata


Hahaaa naona hii ni Part two ya ile story uliyosema ulikaa miaka 7 bila.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…