True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

Nimesoma Mzee asante Kwa kunitoa tongotongo

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
#Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama#
 
Bro alinihusia kuwa dogo hao 2000s usiwakurupukie....πŸ‘£

Marehemu fundi aliniambia,mwanangu umeme unaleta majuto ya milele,kwa kuwa ulipokosea n padogo tuπŸŒπŸΏβ€β™€οΈ...

Utulivu unahitajika sana ukienda sokoni kuchagua bidhaa....
 
Ile Hali ya kuhisi kuwa umekamatika na ngwengwe ndio inayokondesha na kuogopesha sana.

Ukishapima unakuwa kama kiumbe mpya.

Tuache kuuza mechi na mademu ovyo ovyo

Ndomu zinaokoa maisha
 
Mshahara wa dhambi huo


Utanyooka tu
 
Nzi kufia kwenye kidonda sio ufala ila kapenda...
 
Nakuona mama tamu ukielekea kanisani kwenye mafunzo ya ndoa ila baba tamu simuoni[emoji1787][emoji2956]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba tamuuu atakuwepo wakati wa kuapaa pale altareni.
 
Achana nae Asikukaushe kizaz huyo ushindwe kumzalia baba tamu wako buree,[emoji1787][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear jomoneeee, watoto tuta adopt, sayansi imerahisisha mamboo etii.
 
Kabisa mkuu..point
 
Uzinzi hauna mshahara, ni hasara. kwa hizi bakora ulizochapwa na dawa ya PEP sijui kama utakuwa na hamu ya papuchi kiboro kimekuwa kidogooo kama piritoni. maza fanta. πŸ˜‚ πŸ˜‚
We pimbi kweli!! Nyokolo
 
🀣🀣 mie ni Irene wa wapi?punguza stress zako mkuu,mechi uuze mwenyewe huko uliko halafu stress uzilete jfπŸ€”we endelea kukamia nyapu,nyapu hazikomolewi dudeπŸ™
Endelea kujitoa ufahamu Irene, ila nakushauri tulia, tumia ARVs zako ...ila jua mimi sio mwenzako
 
Usijali utayashinda ili kutoa hofu kaka nenda kapime
 
Uzinzi hauna mshahara, ni hasara. kwa hizi bakora ulizochapwa na dawa ya PEP sijui kama utakuwa na hamu ya papuchi kiboro kimekuwa kidogooo kama piritoni. maza fanta. πŸ˜‚ πŸ˜‚
Ulijuaje niko sober na kweli sina hamu na nyapu
 
Jifunze kiingereza umalize kozi kwanza ndio tukuzike wewe baada ya miaka mitatu, nyoko we
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…