True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

Naomba kuelekezwa jinsi ya kujipima HIV,maelezo tu yanatosha,na kwa kawaida bei ya vifaa hivyo vya kupimia ikoje?
 
Duh mtoa mada mbona una makasiriko na hii CHAI uliyotunywesha
 
jiamdae na umaiti
 
Yqlinikuta na mimi hayo ila nilitumia kinga ,nilikunywa kwa siku 28na sikupata side efect nyingi nashukutu Mumgu
Mwana kulitafuta, mwana kulipata
 
We funza ni wamavumbini
ingia hiyo link uone hayo matopiki yako yameanza lini humu mnabadilisha vichwa vya habari tu ila contents ni hizo hizo
 
Sawa ila kila moja na stori yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…