True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

Aisee Mzee Baba sasa Majibu yaliendaje
 
Ila kweli we ni kenge, unadhani wanaume wote ni wa dk moja kama wewe, na wapenda kufanya sex kama wewe kila siku....mimi nimekaa mwaka ndio...
Ingia inbox nikufundushe jinsi yakudumu kwenye sex
Teach me bro[emoji41][emoji41]
 
Sawa ila kila moja na stori yake
Kumpiga kofi huyo mwanamke au kumlaumu kwanini asingekuambia nafikiri siyo sahihi kwasababu
1. Jukumu la kulinda afya yako ni wewe na si mtu mwingine.
2. Wewe ndiyo ulimtongoza na wewe ndiyo uliyemuomba namba ya simu
Utajiuliza kwanini hakukuambia kama ni muathirika wa UKIMWI
A. Ni watu kama wengine ambao wanatamani kupendwa na kuwa na mahusiano ya kimapenzi
B. Hawataki wafe pekee yao
B. Huogopa kutengwa na kunyanyapaliwa. Angekuambia usingemtafuta tena
Tuache tamaa, tuoe na tulinde afya zetu. Huwa sitongozi ovyo wanawake kwasababu uharibifu uanzia kwenye ngono
 
Mkuu inbox
 
Vijana acheni tabia ya kukamia game kama k..ma hutoipata tena maisha Yako yote!!

Mie nishatom..na na demu ninaejua kbs anangoma lkn sijapata ngwengwe Wala mdogo wake ngwengwe.
 
Ushakuwa R.I.P tayari, sema umezingua sana kupiga demu kwa makosa yako.
 
Juzi nilienda kupima nikapimwa na mdada anatako kubwa lenye umbo la round baada ya majibu nikamuomba samahani nikamtolea 30K nikamwambia hii nakupa tu kwakuwa nimeshindwa kutamka ninachokiwaza akasema asante Ile nimeshatoka akaniita nikarudi akaniuliza unashida Gani nikamwambia kiukweli nimekuelewa akanambia hebu nenda kwenye point huku kakaza macho nikaogopa nikajikaza nikamwambia sidhani kama nimewahi kuona utamu kama huu. Basi akawa ameduwaa nikamshika sehem flan nae akanikumbatia vilivyo akapandisha gauni lake nikamvua kiukweli nikazamisha kitu na kushusha wazungu kama woote mlango ukagongwa tukaachana akafungua mlango alikuwa mtumishi mwenzie mi nikaondoka sasa hivi nasubir nikapimwa tena huu upumbav sijui utaisha lini.
 
😆😆😆
Siku nilienda kupima baada kuzidiwa bolo linatema uji tu.
Kuna lichangu moja hapo magomeni mikumi tulikutana kibwege tu likaniteka.
Kaa ndani ni kufungiwa,
mtoto wa kirangi yule,atapika,vyombo humo humo ataosha.
Mi ni kuletewa tu msosi supu
Ikawa ni kula nyau,
huku kisoda tunageuzana tu.
Nimetoka pale
Siku 3 ngoma ikaitika.
Dungwa sindano kudadadeki km 5 hivi za mshipa.
Ndo hali ikarudi sawa.
E bana nesi wangu ilikua bonge la pisi.
Siku nauliza "ebana nimepona".
"Ndio" anajibu.
"Au tutesti mitambo?
ananiuliza🤣🤣🤣"
Wala sikuwaza nikamwambia pale mbele hotelini utanikuta ukimaliza kazi.
Demu kaja nae nikapiga kavu vilevile licha ya kutoka kwenye maumivu.
Huo ugonjwa uko overated,watu wanaishi na miaka yote sijawai kupima wala kuuliza.
Foleni ya mbususu ni fuso km kumi hivi au yutong 20.
Ila niko fit chuma cha pua.
 
Last update! Zaidi ya miezi mitatu sasa nimepima Niko Sawa!...Hakika PEP zinasaidia, na pia rehema za Mungu ni nyingi mno!....naweza sema sasa kwa kujiamini kuwa Nimenusurika atleast katika lile tukio na Janga la Ukimwi.
Vijana tuwe makini, tusirudie makosa
 
no wonder
nimepata jibu sasa ...no wonder una povu....utakuwa una ngoma wewe....ndio maana una hofu nakuleta mapovu kwa watu na post zao....wewe ka umejichokea maisha sio wote ....jidai uko fit ka chuma cha pua ila kumbuka hata chuma cha pua cha treni nacho kinaoza kwa kutu....nenda kapime we upunguze stress zako kwa post za watu...ny'angau we
 
Neno la matumaini.... KILA NAFSI ITAONJA MAUTI😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…