True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

Watu mnaogopa ukimwi hivi mnaijua kisukari nyie?vipi kuhusu bp kwanza mimi tu ukishaanza kunipangia nini nile nn nisile ushaniua kwa asilimia 30
 
Mkuu uandishi mzuri sanaa..nimesoma mpaka katikati hii wiki nimekua busy sana nakazi zetu izi za kutizama computer muda mwingi nimekua tired sanaa na sitarajii kupata mapumziko........

Nikiwa kama mdau wa afya MWANDAMIZI senior vijana Kuna kipimo Cha ukimwi Cha kutumia Mate (saliva)

Hichi unaweza kupata@5k nashaur uwe nacho hata ndani

Pole sana Kwa mkasa pia kupata ukimwi sio mwisho wa maisha tengeneza psychology yako namaliza Kwa kusema GOD IS GOOD ALL THE TIME, ALL THE TIME GOD IS GOOD
 
Pole sana aisee! Papuchi kavukavu ni tamu ila ni chungu pia! CHUNGU TAMU!!

Sasa kama PEP zinapelekesha hivyo, je hizo ARVs hali ipoje?
 
Naungana nawe!
 
Msomi wa PHD asiyejua kufupisha habari 😂😂😂😂

Ungekuwa wewe ungesema gazeti hili lote?
 
Kyai kya rangi
 
Ulipiga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…