True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

Umenipa wazo!

Hivi hakuna aliyebuni jeneza ama sanduku la chuma?

Nadhani mtu akibuni na kudizaini masanduku ya chuma atapiga sana hela, sababu material ni bei nafuu kuliko ya mbao ambazo ni ghali sana kwa sasa.
Hakika, ila sasa idea ni kwamba wewe na sanduku muoze. Sasa ukiweka chuma si tutazika machuma huko chini ya ardhi
 
Hakika, ila sasa idea ni kwamba wewe na sanduku muoze. Sasa ukiweka chuma si tutazika machuma huko chini ya ardhi
Mkuu kama unaelewa maana ya "chemical reaction" hauwezi sema chuma hakiozi ndani ya udongo.

Sema nini, kinakawia kuoza.

kama ni suala la kuhifadhi mazingira(kuoza),hao wanaojenga makaburi kwa kutumia zege na tiles inakuwaje na malengo yao ni nini?
 
Of cause eventually chuma inaweza ikaoza ila si mchakato wa muda mfupi, hao wanaojenga makaburi kwa kuweka zege nao ni kenge tu. Huwezi kutumia nguvu nyingi sana kulinda mzoga. Mtu akifa amekufa, hana thamani tena
 
UPDATE:
NAONA WATU MNAENDELEA KUCOMMENT TU, JAMANI NI ZAIDI YA MIEZI NANE SASA TOKA TUKIO, NA MWAKA HUU 2024 NIMEPIMA NIKO NEGATIVE! SIKUPATA MAAMBUZI, MUNGU AMESAIDIA...
Na wewe ulipaniki bure tyuu.

Msomi mzima unajiletea taharuki moyoni mwako eti kwa kuchuna ngozi kavu?

Tena ukute na mshirika anakunywa 'dose', ngozi inachunwa kavu na hakuna cha maambukizi wala nini.
 
Of cause eventually chuma inaweza ikaoza ila si mchakato wa muda mfupi, hao wanaojenga makaburi kwa kuweka zege nao ni kenge tu. Huwezi kutumia nguvu nyingi sana kulinda mzoga. Mtu akifa amekufa, hana thamani tena
Teh teh😅😅.
Eti inakuwa kama vile marehemu akifufuka atawalaumu kumzika kiboya boya!
 
Of cause eventually chuma inaweza ikaoza ila si mchakato wa muda mfupi, hao wanaojenga makaburi kwa kuweka zege nao ni kenge tu. Huwezi kutumia nguvu nyingi sana kulinda mzoga. Mtu akifa amekufa, hana thamani tena
Mkuu,
Punguza maneno ya uchochezi mkuu 😊😊😊😊
Ukiwa kwetu Kanda MAALUM Tarime usithubutu kuita marehemu wao MZOGA
 
Damn dawg
 
Hili gazeti kusoma ngumu.
Ila, wewe si ni mzuri wa kuwaimbisha wanawake? Sasa unahofia nini! Kidogo naona Dish lishayumba, hata hiyo misifa na elimu bule tu.
Ungeendelea nae na kuvaliwa vest yako na chupi tuuuu. Daadeki.
 
Sijui hata unasoma kitu gani hyo chuo ya jiji usilopenda. Nmeishia njiani.
Ngonjera nyiiingi, wakat ushasema unakunywa PEP huko.
UNgeandika summary biashara ikaisha.
Msomi kabisa unaandi "shut tha fakaap".?
Jiulize watu atakaowahudumia sasa!!! Anafaa sehemu wanawake wanapojiuza,
 
Si kasimamisha kitololi chake Janet aone ana gari? Janet ana kosa gani! Si kamwita kwake mwenyewe kajiona anajua kupika na kununua wine! Hajatuhusisha kuhusu ujio wa Janet! Kajiona ye ni komando!
Leo hii eti wamsaidie.
Mi naona tu akampe hicho kigari chake Janet
 
fala sana wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…