True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

Wakuu na vijana wenzangu tuweni makini sana na hawa wadada tunaokutana nao nahatujui status zao kabla hali ya mwana ndo nayo pitia hapa nimekula kavu baadae nafsi ikaanza kunisuta ikanambia ninini umefanya ebu tafuta vipimo haraka umcheki huyu dem ile kumpima aisee nilibaki nimepigwa butwaa ivi kama dakika kadhaa aisee nikabaki nasema huku machozi yakinitoka kua nimekufa kifala snaaa aisee jamani hua nasikia kuna moto ndo nimekutana nao yapata siku ya tatu leo dhuu Mungu anisaidie na atusaidie sisivijana pia tuache ngono nzembe
 
Pole sana jaman
 
Wakuu ukimwi upo tena kwa hawa mabinti wadogo, acheni mzaha kabisa wacha nimalize PEP nikichoropoka naoa kabisa, nime sex nae several times nimetest negative na yeye ni positive na alikua hajui asee ninyi unaweza tamani ardhi ipasuke ikumeze
 
UPDATE:
NAONA WATU MNAENDELEA KUCOMMENT TU, JAMANI NI ZAIDI YA MIEZI NANE SASA TOKA TUKIO, NA MWAKA HUU 2024 NIMEPIMA NIKO NEGATIVE! SIKUPATA MAAMBUZI, MUNGU AMESAIDIA...
Ulikuja kumtafuta Janet tena?
 
Story ndefu hivi...kweli PEP imefanya kazi
 
Huna akili
 
Chai ya tangawizi, uzi umeandikwa kwa lengo la kujisifu tu hakuna cha ziada.
1. Demu wake anasoma nje
2. Anapiga show ya kwanza saa zima
3. Anajua kupika mademu wengi wanamsifu
4. Ni mwanaume anayejijali sana
5. Anajua kutongoza na kuchagua mademu wazuri
6. Ana elimu kubwa
7. Ana gari na hapendi kujiona
8. Ana maisha mazuri, after show anakula matunda swaaafii

Nime notice kuwa jamaa ni misifa tu ndo inayompelekesha.
#smooth criminal napita zangu.....
Kidogo nisahau, zingatia matumizi ya dozi vizuri baada ya hiyo miezi 3 ya kutokulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…