True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

Kwan nimudagani tangu mtu aambukizwe kipimo ndyo kinasoma majibu kamili.
 
Duh 🤣
 
Duuuu
 
😄 🤣 😂 😆 😄 yaan kisa cha kusikitisha na kuchekesha zaidi pole ila hope kuna mengi umejifunza na usimtaft Mungu cku za shda tu 😄 🤣
 
Wakuu ukimwi upo tena kwa hawa mabinti wadogo, acheni mzaha kabisa wacha nimalize PEP nikichoropoka naoa kabisa, nime sex nae several times nimetest negative na yeye ni positive na alikua hajui asee ninyi unaweza tamani ardhi ipasuke ikumeze
Niwape mrejesho sasa nilimaliza PEP nikapima nikawa negative nikapima kipimo kitaalamu tunaita PCR nayo not detected.
Nimetoa zaka, misa ya shukrani, mwakani nioe sasa.
 
Nikupe moyo ndugu yangu usiwe na wasiwasi.Unaweza tembea na mwanamke mwenye VVU na usipate.
Yapo mambo yanayofanya mtu hadi upate mfano wakati wa tendo umetumia nguvu nyingi sana msuguano hadi michubuko.
Ingekuwa hivyo tungeshakufa wengi.Mimi shafanya na wanawake ambao baadae walikufa kwa ukimwi.
Ninachokushauri kabla ya kufanya tendo la ndoa tafuta vidonge vinaiwa PEP meza masaa 72 kabla au baada ya kufanya yasipite masaa 72 uwe umemeza kisha kafanye yako.Ila ushauri kila ukifanya ngono haraka sana nenda kaoshe uume wako.
Kingine watu wana tabia ya kushabikia wanawake wenye uke mdogo sana hili sio jambo la kujivunia ukweli ni kwamba mwanamke mwenye uke mkubwa sana ndio dili kwani shida yako nini si kukojoa tu?
Halafu kuna kitu kinaitwa window period yaani miezi mitatu ukipata vvu leo ukipima itaonyesha negative ila usiogope kaza moyo afterall siku hizi ukimwi sio gonjwa la kuogopa siku hizi watu wanatembea nao na wanakuja kufa na ugonjwa mwingine kabisa
Rafiki yangu ni inbox nikushauri zaidi
 
Pole sana
 
Mkuu ulikufa?
 
Nmeisoma yote...
Aya tupe updates kama io PEP ilikusaidia mpaka leo ukipima ni -ve au ata baada ya miez 3 ilisoma -ve au laah
All in all urembo uzuri wa "ke" haimaanishi yuko salama.
pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…