True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

Sijui hata unasoma kitu gani hyo chuo ya jiji usilopenda. Nmeishia njiani.
Ngonjera nyiiingi, wakat ushasema unakunywa PEP huko.
UNgeandika summary biashara ikaisha.
Msomi kabisa unaandi "shut tha fakaap".?
Bro usiwe kenge, nimeandika kwa staili nipendayo, elimu yangu haikuhusu, pia nimeandika hivyo kukwepa kuandika matusi kwenye thread....ni kama nimetumia euphemism , kwa hiyo tusichoshane fanya yako jamaa sijakulazimisha kusoma uzi wala kukomenti, you better shut the fu*k off.
 
Summary
Demu wake yuko nje ya nchi anasumbuliwa na genye hajatomba mwaka mmoja
jamaa kakutana na demu Janeth....
Umeiweka vema tofauti tu kusema umalaya wangu umeniponza, umesahau hakuna mwanaume malaya, kwa jinsi ulivyoandika inaonekana wewe ni kijana wa hovyo uliyekulia familia yakisabato au kiTAG unayedhani kila anayefanya ngono ni malaya, unasahau hata wewe ni zao la ngono tena ngono zembe
 
Insult me not my parents. 🤣🤣 you are so wrong keep insulting me and I pray that you get HIV from your unprotected sex
if you don't get this time you will get it from your woman😀

and let's see who's gonna have the last laugh😀😀😀
 
Ulichoandika ni rubbish.la kujifunza hapo ni kuwahi dawa hizo endapo mtu amejiingiza katika Hali kama hiyo,kupitia Hilo unaweza okoa watu wengi,hukuwa na haja ya kuelezea ujinga woote uliofaya.simple!
 
Acha uzinzi usiambukize wengine. Kama umenasa hayo ndiyo malipo ya dhambi
 
Dah pole sana Mkuu anza kufanya mazoezi kula vizuri na upumzishe mwili
 
No matter utajiteteaje mkuu;
1. Hukupaswa kumpima HIV pasi ridhaa yake. Mtu akigoma kupima na umeuza mechi, fine yako ni kuanza PEP. Usijiangalie wewe tu, hata yeye alikuwa na sababu zake za kutotaka kupima. Fikiria wewe ndo ungekuwa unalazimishwa upimwe.

2. Bado ungeweza kumpeleka mpaka hostel na hata bila kumpiga. Huna uhakika kama alikuwa anajua hali yake ya kiafya. Jiulize pia, ingekuwaje kama wewe ndo ungekuwa unapokea hiyo treatment.

All in all, shukuru Mungu, shukuru PEP na ujitahidi, usiuze mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…