True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

Usirudie tena kuuza mechi,na uache kupima wanawake kwa macho.ARV zinawafanya waathirika wawe na afya nzuri kabisa kimuonekano.Pia ishi na theory kuwa wanawake wote unaowataka kimapenzi wana ngoma ,so ili kujiridhisha pimeni kwanza .Au tumia condom.
 
Mwaka Jana November nilikumbwa na mkasa kama huu japo Mimi Ile pisi nilipiga ila nikajua kujua inajiuza and she refused testing so I had to start taking pep immediately.
To be honest this shit is madafaking terrible to take. Nilikunywa for two weeks ndipo akakubali kupima and she was safe. Ikawa ndo mwisho wa kutumia hayo madude
 



sijisifii ila mimi ni aina fulani ya wale wakaka ambao almost kila mwanamke atavutiwa tu na mimi maana ndio imekuwa hivyo,
 
Aisee una bahati mno mkuu
 
Usirudie tena kuuza mechi,na uache kupima wanawake kwa macho.ARV zinawafanya waathirika wawe na afya nzuri kabisa kimuonekano.Pia ishi na theory kuwa wanawake wote unaowataka kimapenzi wana ngoma ,so ili kujiridhisha pimeni kwanza .Au tumia condom.
Hakika nikitoka katika hili sitarudia tena kabisaaa,
 
Wishful thinking, you are such a joke and dumb indeed. Your prayers are in vain and shall never come to pass. Your illiteracy level is at high stage. The same measures you put against me the same will apply to you, that's when you will understand the law of action and reaction. Stop mumbling on my thread loser, get a life
 
Kweli sikupaswa na nilikosea kabisa kufanya vile mkuu. Ila ndio jinsi nilivyoreact tu kutokana na hali ilivyokuwa....kila mtu ana namna anakabiliana na taarifa asizopenda kuzisikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…